KUHUSISHA UMMA KWA RASILIMALI ZA UMMA
Muungano wa wakaazi wa Pwani wanaopigania maslahi na ustawi wa mombasa.
Masuala
Kwanini #OkoaMombasa? Pata maelezo zaidi kuhusu masuala yanayoikabili Pwani.
Habari
Pata habari mpya zaidi kutoka kwa muungano wa Okoa Mombasa.
Matukio
Habari zaidi kuhusu matukio ya Okoa Mombasa.
HABARI MPYA
Je, ukomo la deni la Kenya linawezesha mikopo kinyume ya katiba?
Je, Kiwango cha juu cha deni la Kenya linawezesha serikali kukopa kinyume ya katiba na nje ya bajeti ya taifa? Tazama...
Okoa Mombasa yatangaza upya mahitaji ya kongamano la umma la kubadilisha jina la bustani la “Mama Ngina Park”
Okoa Mombasa imerejelea matakwa yake kwamba Bunge la Kaunti lifanye kikao cha hadhara kuhusu kubadilisha jina la bustani la...
Okoa Mombasa yapongeza notisi ya KPA ya kurejesha huduma za bandari
Okoa Mombasa inapongeza notisi iliyochapishwa na Mamlaka ya Bandari za Kenya (KPA) hivi leo, ambayo ikitekelezwa ipasavyo,...
Ujumbe na Rasilimali
Ahadi za Uchaguzi 2022
Ahadi ya Uchaguzi 2022, tuliwaalika wagombeaji kutia sahihi Ahadi ya Okoa Mombasa ambayo inaangazia maswala muhimu ya haki za binadamu ambayo wakazi wanataka wanasiasa wayazingatie. Kwa vile uchaguzi umekwisha, tunafuatilia wanasiasa Kuona kama wanatekeleza
Kifuatilishi Kesi
Get the latest on key court proceedings that impact Mombasa and Coast, including cases involving the Standard Gauge Railway (SGR) and Container Terminal 2 (CT2). Includes court dates, summaries, important documents and more.
Kielelezo
Maelezo yetu yanachambua ukweli na takwimu za kufichua baadhi ya masuala muhimu zaidi yanayokabili eneo la Pwani.
Tuonyesheni Kandarasi
Taarifa kuhusu kesi iliyowasilishwa mahakamani na Okoa Mombasa na Institute for Social Accountability (TISA) ili kupata kandarasi zinazohusiana na ujenzi na uendeshaji wa Reli ya Kisasa (SGR).
Jishirikishe
Panga Jumuiya Yako
Tunahitaji wahamasishaji Mombasa na kwingineko. Je, unaweza kusaidia? Wasiliana na utufahamishe ni masuala gani muhimu kwako.
Jiunge na Orodha Yetu ya Barua!
Endelea kufahamishwa na tuendelee kuwasiliana. Jisajili kwa orodha yetu ya wanaopokea barua pepe ili kupata sasisho za mara kwa mara kuhusu masuala yanayohusu Mombasa na Pwani.