Habari
Okoa Mombasa na TISA kufanya mkutano na waandishi wa habari
Okoa Mombasa na Taasisi ya Uwajibikaji kwa Jamii (TISA) watafanya mkutano na waandishi wa habari siku ya Jumatatu, tarehe...
Mkutano wakufikia wapiga kura: Mei 21 saa 9:30 asubuhi, Majengo Chief’s Hall, Mombasa
Okoa Mombasa itafanya mkutano wa wazi wa wapiga kura ili kutoa mwelekeo wa Uchaguzi, mkutano utakua tarehe 21 Mei 2022...
Mkutano wakufikia wapiga kura: Aprili 13 saa 9:30 asubuhi, Patana Hall, Likoni
Okoa Mombasa itafanya Kongamano la wazi la Maelekezo ya Uchaguzi tarehe 13 Aprili 2022 kuanzia 9:30 asubuhi hadi 11:30...
Okoa Uchumi yazindua Kushinikiza Uwajibikaji wa Madeni ya Umma Kabla ya Uchaguzi
Okoa Mombasa imejiunga na muungano wa zaidi ya Mashirika 15 ya Kiraia kuzindua Kampeni ya Okoa Uchumi – mpango ambao wenye...
Mkutano wa Uhusiano na Raia: Desemba 8 saa 9 asubuhi, Ukumbi wa Holi ya Tononoka
Okoa Mombasa itafanya Kongamano la wazi la kushirikisha Raia tarehe 8 Des 2021 kuanzia saa 9 asubuhi hadi adhuhuri katika...
Okoa Mombasa yajiunga na KCSPOG na Natural Justice Kenya kuwasilisha maoni kuhusu Kanuni za upatikanaji wa habari
Okoa Mombasa, Jukwaa la Mashirika ya Kiraia ya Kenya kuhusu Mafuta na Gesi (KCSPOG) na Natural Justice Kenya wamewasilisha...